Responding to COVID-19

In the effort to make sure employees and contractors work in a safe and healthy environment, management of Geita Gold Mine has put in place strong measures to protect its employees against the COVID-19 pandemic.

A top employer

Geita mine employs over 5,000 individuals both directly and through contractors of which about 98% are Tanzanian nationals. Geita mine was recognised by the Government as Overall Best Performer of the Mining Sector for the 2019/2020 financial year.

Community projects

In Tanzania, community development is one of the material issues to which we are committed. The Geita mine was the first in the country to execute its Corporate Social Responsibility Plan as per the amended Mining Act of 2017.


Vacancies

There are no vacancies currently


On Facebook

This message is only visible to admins.
Problem displaying Facebook posts. Backup cache in use.
Click to show error
Error: Error validating access token: The session has been invalidated because the user changed their password or Facebook has changed the session for security reasons. Type: OAuthException
AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited inazingatia usimamizi wa mazingira katika shughuli zake za kila siku na kukuza uelewa wa mazingira kwa wafanyakazi wake. Msimamizi wa Mazingira wapili wa kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited, Naziel Eliakimu akitoa maelezo mafupi kuhusu utamaduni wa uwajibikaji wa mazingira unaotekelezwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita. "Kwa hiyo kwa pamoja tunafanya hivi kila siku na tunajivunia kutunza mazingira". – Naziel Eliakimu, Msimamizi wa Mazingira wa pili, HSE&T#onlyoneearth #worldenvironmentday #environment #nature #environmentday #MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #csr #community #sustainable #environmental #biodiversity #water See MoreSee Less

2 weeks ago  ·  

View on Facebook
Sera ya Mazingira ya AngloGold Ashanti inaungwa mkono na viwango vya usimamizi wa mazingira na inaeleza dhamira ya kuepuka na kupunguza athari za shughuli zetu kwenye mazingira na kudhibiti kwa makini hatari za uchafuzi wa hali ya hewa, ardhi, viumbe hai na rasilimali za maji katika kipindi chote cha shughuli za uchimbaji madini. Utunzaji wa maji ni muhimu kwa AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited kwani maji ni rasilimali muhimu, ambayo mara nyingi ni adimu na muhimu kwa kazi mbalimbali za uzalishaji na huduma za usafi. "Tunahakikisha kwamba taka zote zinazozalishwa katika shughuli zote za mgodi zinatupwa kwa kufuata sheria za mazingira," – Shadya Jamali, Afisa Mazingira, HSE&T katika GGML.#onlyoneearth #worldenvironmentday #environment #nature #environmentday #MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #csr #community #sustainable #environmental See MoreSee Less

3 weeks ago  ·  

View on Facebook
Siku ya Mazingira Duniani. #onlyoneearth #worldenvironmentday #environment #nature #environmentday #MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #csr #community #sustainable #environmental See MoreSee Less

3 weeks ago  ·  

View on Facebook
Siku ya Mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 5 Juni, ni siku ya kuwakumbusha wananchi wa Tanzania na duniani kote kuchukua hatua katika kulinda mazingira ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni “Dunia ni Moja”.Sera ya mazingira ya Anglo Gold Ashanti, kampuni mama ya Geita Gold Mining Limited, inalenga kufikia matokeo endelevu na kuhakikisha kwamba uwezekano wa uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli zetu unapunguzwa na kwamba sisi ni wasimamizi wanaowajibika wa maliasili ambazo sisi ni walinzi wake. Meneja Mwandamizi wa HSE&T wa Geita Gold Mining Limited, Dk Kiva Mvungi anaeleza kuwa kampuni ya Geita Gold Mining Limited inashirikiana kwa karibu na serikali na jamii katika kulinda mazingira asilia dhidi ya ukataji miti japo, asilimia 70 ya mgodi huo upo katika hifadhi ya msitu wa Geita.“Sote tuna wajibu wa kutunza mazingira, kama kampuni na jamii yote kwa ujumla,” anasema Dk Kiva Mvungi. Meneja mwandamizi wa GGML anayeshughulikia masuala ya afya,usalama,mazingira na mafunzo.#mazingirakwanza #onlyoneearth #worldenvironmentday #environment #nature #environmentday #MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #csr #community See MoreSee Less

3 weeks ago  ·  

View on Facebook

Like us on Facebook