Responding to COVID-19

In the effort to make sure employees and contractors work in a safe and healthy environment, management of Geita Gold Mine has put in place strong measures to protect its employees against the COVID-19 pandemic.

A top employer

Geita mine employs over 5,000 individuals both directly and through contractors of which about 98% are Tanzanian nationals. Geita mine was recognised by the Government as Overall Best Performer of the Mining Sector for the 2019/2020 financial year.

Community projects

In Tanzania, community development is one of the material issues to which we are committed. The Geita mine was the first in the country to execute its Corporate Social Responsibility Plan as per the amended Mining Act of 2017.


Vacancies

There are no vacancies currently


On Facebook

Tumerudi kwenye njia yetu ya Ushindi.Sisi ni Dhahabu!#sisnidhahabu Geita Gold FC NBC Tanzania NBC premier league NBC Premier league Tanzania Geita gold FC Geita Gold Fc See MoreSee Less

15 hours ago  ·  

View on Facebook
Ni mwaka muhimu kwa Klabu ya Geita Gold Football Club wakishiriki Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya kwanza katika historia yao. Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited inajivunia kuhusika katika hatua hii muhimu katika historia ya klabu ya Geita Gold Football Club.Udhamini wetu utajumuisha pia mchango katika uwanja wa nyumbani wa klabu, ambao hautatumika tu kama uwanja wa mechi za Ligi Kuu ya NBC, lakini pia utakuwa kitovu cha jamii ya Geita.Tunaitakia timu mafanikio mema kwa miezi miwili ya mwisho ya msimu wa kawaida.#MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #CSR #communityAngloGold Ashanti Geita Gold Football Club Geita gold football club NBC Tanzania NBC Premier league Tanzania See MoreSee Less

2 days ago  ·  

View on Facebook
Kwa waendeshaji baiskeli wote majasiri: Zoezi la uandikishaji kuelekea kwenye shindano ya kusisimua la GGM Kilimanjaro Challenge mwaka huu limeanza rasmi, zikiwa zimebaki wiki tisa tu.Ungana na timu yetu ya waendesha baiskeli watakapozunguka Mlima Kilimanjaro, wakitazama mandhari nzuri ya mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika, yenye vilele maarufu vya Kibo na Mawenzi. Hili ni nafasi adhimu kwa wale walio na moyo wa utayari, kwa hivyo unasubiri nini, jiandikishe.Kwa maelezo zaidi kuhusu shindano hili na kujiandikisha, bofya linki iliyopo hapa chini ili kutembelea tovuti ya GGM Kili Challenge.bit.ly/ggmKili2022#MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #CSR #community Tacaids HQ GGM Kili Challenge Tacaids Tanzania See MoreSee Less

5 days ago  ·  

View on Facebook
Leo ni Siku ya kimataifa ya Wauguzi 2022 na tunasherehekea mchango wao adhimu ambao wauguzi hutoa kwaajili ya maisha ya wagonjwa nchini Tanzania na ulimwenguni kote.Licha ya hali ngumu wanazokabiliana nazo wakiwa wanafanya kazi, kila siku wauguzi hujitahidi kutoa matunzo ya hali ya juu, muhimu na salama, pengine hata kupita uwezo wao.Siku ya kimataifa ya Wauguzi ni fursa ya kuwatambua na kuwashukuru kwa yote wanayofanya.Meneja Mwandamizi wa Afya na Usalama, Mazingira na Mafunzo katika Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited, Dk @Kiva Mvungi alipongeza jitihada zinazofanywa na wauguzi wa kituo cha afya cha GGML katika kutoa huduma bora kwa wafanyakazi, wakandarasi na wategemezi akisema, “Katika kipindi cha nyuma. kwa miaka miwili, wauguzi wetu wameendelea kujitoa kwa kufanya kazi usiku na mchana kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya UVIKO-19, hii inastahili sifa na pongeza kwa kujitoa kwao katikati ya hatari za kimatibabu. Tunawashukuru kutoka ndani ya mioyo yetu ".#internationalnursesday2022 #nursesday #nurse #nurses #MiningforNationalDevelopment #agatanzania #MiningforDevelopment #tanzania #miningforchange #mining #mininglife #miningtanzania #undergroundmining #sustainability #socialresponsibility #csr #community See MoreSee Less

6 days ago  ·  

View on Facebook

Like us on Facebook